sw_tn/num/21/29.md

562 B

Moabu ... watu wa Chemoshi

Virai hivi vinamaanisha watu walewale

Watu wa Chemoshi

"Chemoshi" lilikuwa jina la mungu wa Uogo amabye aliabudiwa na Wamoabu. "watu waliomwabudu Chemoshi"

Amewafanya watu wake

kiwakilishi "a" na "wake" kinamaanisha Chemoshi

tumewapiga

kiwakilishi "tu" kinawawakilisha Waisraeli waliompiga Sihoni

Tumeiangamiza Heshiboni

"Tumeiangamiza Heshiboni"

Heshiboni ...mpaka Diboni. Mpaka Nofa ... Madeba

Maeneo yote haya yako kwenye ufalme wa Sihoni. Hii inamaanisha kuwa Waisraeli waliuangamiza utawala wote wa Sihoni.