# Moabu ... watu wa Chemoshi Virai hivi vinamaanisha watu walewale # Watu wa Chemoshi "Chemoshi" lilikuwa jina la mungu wa Uogo amabye aliabudiwa na Wamoabu. "watu waliomwabudu Chemoshi" # Amewafanya watu wake kiwakilishi "a" na "wake" kinamaanisha Chemoshi # tumewapiga kiwakilishi "tu" kinawawakilisha Waisraeli waliompiga Sihoni # Tumeiangamiza Heshiboni "Tumeiangamiza Heshiboni" # Heshiboni ...mpaka Diboni. Mpaka Nofa ... Madeba Maeneo yote haya yako kwenye ufalme wa Sihoni. Hii inamaanisha kuwa Waisraeli waliuangamiza utawala wote wa Sihoni.