sw_tn/num/21/27.md

389 B

Heshiboni ... mji wa Sihoni

Haya ni majiina mawili yanayomaanisha mji uleule

Mji wa Sihoni ujengwe na kuimarishwa tena

"Mtu aujenge mji wa Sihoni na kuimarisha tena mji wa Sihoni"

Moto uliwaka toka mji wa Heshiboni, moto kutoka mji wa Sihoni

"Mfalme Sihoni alikuwa na jeshi imara kutoka mji wa Heshiboni"

Uliteketeza Ari ya Moabu

"uliharibu mji wa Ari katika nchi ya Moabu"