# Heshiboni ... mji wa Sihoni Haya ni majiina mawili yanayomaanisha mji uleule # Mji wa Sihoni ujengwe na kuimarishwa tena "Mtu aujenge mji wa Sihoni na kuimarisha tena mji wa Sihoni" # Moto uliwaka toka mji wa Heshiboni, moto kutoka mji wa Sihoni "Mfalme Sihoni alikuwa na jeshi imara kutoka mji wa Heshiboni" # Uliteketeza Ari ya Moabu "uliharibu mji wa Ari katika nchi ya Moabu"