sw_tn/num/21/27.md

16 lines
389 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Heshiboni ... mji wa Sihoni
Haya ni majiina mawili yanayomaanisha mji uleule
# Mji wa Sihoni ujengwe na kuimarishwa tena
"Mtu aujenge mji wa Sihoni na kuimarisha tena mji wa Sihoni"
# Moto uliwaka toka mji wa Heshiboni, moto kutoka mji wa Sihoni
"Mfalme Sihoni alikuwa na jeshi imara kutoka mji wa Heshiboni"
# Uliteketeza Ari ya Moabu
"uliharibu mji wa Ari katika nchi ya Moabu"