sw_tn/num/21/24.md

28 lines
565 B
Markdown

# Israeli akalivamia
Neno "Israeli" linamaanisha Waisraeli. "Waisraeli wakawavamia"
# kwa nchaya uoanga
"na wakawaangamiza kabisa"
# na kuchukua nci yao
"wakaitwaa nchi ya Waamori"
# Watu wa Amoni ... Waamori
"Waamoni ... Waamori" au "watu wa Amoni ... watu wa Amori" majiina haya yanafanana lakinai yanamaanisha watu wa makundi mawili tofauti.
# ulikuwa umefungwa
"ulikuwa na ulinzi imara"
# Heshiboni na vijiji vyake vyote
"Hshiboni na vijiji jirani alivyovitawala"
# Sihoni alikuwa ameteka ardhi yake yote
Neno "yake" linawakilisha mfalme wa Moabu.