# Israeli akalivamia Neno "Israeli" linamaanisha Waisraeli. "Waisraeli wakawavamia" # kwa nchaya uoanga "na wakawaangamiza kabisa" # na kuchukua nci yao "wakaitwaa nchi ya Waamori" # Watu wa Amoni ... Waamori "Waamoni ... Waamori" au "watu wa Amoni ... watu wa Amori" majiina haya yanafanana lakinai yanamaanisha watu wa makundi mawili tofauti. # ulikuwa umefungwa "ulikuwa na ulinzi imara" # Heshiboni na vijiji vyake vyote "Hshiboni na vijiji jirani alivyovitawala" # Sihoni alikuwa ameteka ardhi yake yote Neno "yake" linawakilisha mfalme wa Moabu.