sw_tn/num/21/24.md

565 B

Israeli akalivamia

Neno "Israeli" linamaanisha Waisraeli. "Waisraeli wakawavamia"

kwa nchaya uoanga

"na wakawaangamiza kabisa"

na kuchukua nci yao

"wakaitwaa nchi ya Waamori"

Watu wa Amoni ... Waamori

"Waamoni ... Waamori" au "watu wa Amoni ... watu wa Amori" majiina haya yanafanana lakinai yanamaanisha watu wa makundi mawili tofauti.

ulikuwa umefungwa

"ulikuwa na ulinzi imara"

Heshiboni na vijiji vyake vyote

"Hshiboni na vijiji jirani alivyovitawala"

Sihoni alikuwa ameteka ardhi yake yote

Neno "yake" linawakilisha mfalme wa Moabu.