sw_tn/num/21/01.md

446 B

akapigana dhidi ya Israeli

"Majeshi yake yakapigana dhidi ya Waisraeli"

Israeli akaapa

"watu wa Israeli wakaapa" au "Waisraeli wakafanya kiapo"

BWANA akaisikia sauti ya Israeli

"alifanya kile Israeli alichoomba"

sauti ya Israeli

ambacho Israeli aliomba

Wakawaangamiza kabisa pamoja na miji yao

"Watuwa Israeli wakaliangamiza kabisa jeshi la Wakanaani na miji yao"

Mahali pale paliitwa Horima

"Wakapaita mahali pale Horima"