sw_tn/num/21/01.md

24 lines
446 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akapigana dhidi ya Israeli
"Majeshi yake yakapigana dhidi ya Waisraeli"
# Israeli akaapa
"watu wa Israeli wakaapa" au "Waisraeli wakafanya kiapo"
# BWANA akaisikia sauti ya Israeli
"alifanya kile Israeli alichoomba"
# sauti ya Israeli
ambacho Israeli aliomba
# Wakawaangamiza kabisa pamoja na miji yao
"Watuwa Israeli wakaliangamiza kabisa jeshi la Wakanaani na miji yao"
# Mahali pale paliitwa Horima
"Wakapaita mahali pale Horima"