sw_tn/num/20/22.md

12 lines
436 B
Markdown

# Wana wa Israeli, watu wote
Kirai cha "watu wote" kinasisitiza kuwa kia mtu aliyekuwa sehemu ya Waisraeli alikuwepo bila kuwa na udhuru
# Haruni kukusanyika na watu wake
Hii ni tafsida ya kusema kuwa Haruni atakufa. Ni wakati wa Haruni kufa na roho yakae kwenda mahali walipo mababu zake. "Haruni atakufa"
# hamkutii sauti yangu
"sauti yangu" inamaanisha kile ambacho Mungu alikuwa amesema," Mlikataa kufanya nilichokuwa nimeema"