sw_tn/num/20/22.md

436 B

Wana wa Israeli, watu wote

Kirai cha "watu wote" kinasisitiza kuwa kia mtu aliyekuwa sehemu ya Waisraeli alikuwepo bila kuwa na udhuru

Haruni kukusanyika na watu wake

Hii ni tafsida ya kusema kuwa Haruni atakufa. Ni wakati wa Haruni kufa na roho yakae kwenda mahali walipo mababu zake. "Haruni atakufa"

hamkutii sauti yangu

"sauti yangu" inamaanisha kile ambacho Mungu alikuwa amesema," Mlikataa kufanya nilichokuwa nimeema"