# Wana wa Israeli, watu wote Kirai cha "watu wote" kinasisitiza kuwa kia mtu aliyekuwa sehemu ya Waisraeli alikuwepo bila kuwa na udhuru # Haruni kukusanyika na watu wake Hii ni tafsida ya kusema kuwa Haruni atakufa. Ni wakati wa Haruni kufa na roho yakae kwenda mahali walipo mababu zake. "Haruni atakufa" # hamkutii sauti yangu "sauti yangu" inamaanisha kile ambacho Mungu alikuwa amesema," Mlikataa kufanya nilichokuwa nimeema"