sw_tn/num/20/14.md

560 B

Ndugu yako Israeli

Musa anatumia Kiraihiki ili kusisitiza kuwa Waisraeli na Waedomu walikuwa na uhusiano kwa sababu mababu zao Yakobo na Esau walikuwa ndugu.

Tulipomlilia BWANA

"Tulipomwomba BWANA atusaidie"

akatusikia sauti zetu

Neno "sauti" linawakilisha kilio au kile ambacho watu walimwambia. "alisikia kilio chetu" au "alitusikia kile tulichomwomba"

Tazam

Neno "Tazama" hapa linamaanisha kubadilisha mada. Walikuwa wanaongelea mambo yao ya nyuma na sasa wanaongelea mambo yao ya sasa ili wakati wanajiandaa kumwomba mfalme ili afanye kitu.