# Ndugu yako Israeli Musa anatumia Kiraihiki ili kusisitiza kuwa Waisraeli na Waedomu walikuwa na uhusiano kwa sababu mababu zao Yakobo na Esau walikuwa ndugu. # Tulipomlilia BWANA "Tulipomwomba BWANA atusaidie" # akatusikia sauti zetu Neno "sauti" linawakilisha kilio au kile ambacho watu walimwambia. "alisikia kilio chetu" au "alitusikia kile tulichomwomba" # Tazam Neno "Tazama" hapa linamaanisha kubadilisha mada. Walikuwa wanaongelea mambo yao ya nyuma na sasa wanaongelea mambo yao ya sasa ili wakati wanajiandaa kumwomba mfalme ili afanye kitu.