sw_tn/num/19/14.md

319 B

Taarfa kwa ujumla

Lile wazo la "unajisi" linamaanisha kutokukubalika kwa Mungu au kutokuwa tayri kwa matumizi.

Kila chombo ambacho hakiina kifuniko kinanjisika

"vyombo amabvyo havina vifuniko vitabaki kuwa najisi kama havina vifuniko"

mtu aliyeuawa kwa upanga

"mtu ambaye aliuawa kwa upanga na mtu mwingine"