sw_tn/num/19/14.md

12 lines
319 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarfa kwa ujumla
Lile wazo la "unajisi" linamaanisha kutokukubalika kwa Mungu au kutokuwa tayri kwa matumizi.
# Kila chombo ambacho hakiina kifuniko kinanjisika
"vyombo amabvyo havina vifuniko vitabaki kuwa najisi kama havina vifuniko"
# mtu aliyeuawa kwa upanga
"mtu ambaye aliuawa kwa upanga na mtu mwingine"