# Taarfa kwa ujumla Lile wazo la "unajisi" linamaanisha kutokukubalika kwa Mungu au kutokuwa tayri kwa matumizi. # Kila chombo ambacho hakiina kifuniko kinanjisika "vyombo amabvyo havina vifuniko vitabaki kuwa najisi kama havina vifuniko" # mtu aliyeuawa kwa upanga "mtu ambaye aliuawa kwa upanga na mtu mwingine"