sw_tn/num/19/09.md

16 lines
353 B
Markdown

# mtu aliyesafi
Mtu aliyesafi na anayeweza kufanya takatifu alihesabiwa kuwa ni msafi.
# Majivu haya yatatunzwa
"Mtatayatunza haya majivu"
# kwenye eneo safi
Kukubalika kwa kunamaanisha kuwa msafi. "Eneo linalokubalika"
# atabaki najisi
Kutokukubalika kwa Mungukulionyesha kutoruhusiwa kufanyakazi yeyote takatifu. Ni ile hali ya kutokuwa msafi.