# mtu aliyesafi Mtu aliyesafi na anayeweza kufanya takatifu alihesabiwa kuwa ni msafi. # Majivu haya yatatunzwa "Mtatayatunza haya majivu" # kwenye eneo safi Kukubalika kwa kunamaanisha kuwa msafi. "Eneo linalokubalika" # atabaki najisi Kutokukubalika kwa Mungukulionyesha kutoruhusiwa kufanyakazi yeyote takatifu. Ni ile hali ya kutokuwa msafi.