sw_tn/num/18/19.md

786 B

Sentensi unganishi

Mungu anaendelea kuongea na Haruni

nimekupa wewe

"Ninakupatia wewe"

Kama gawio la kudumu

"Kama sehemu ambayo mtaendelea kupata"

Hili ni agano la milele la chumvi. Agano linalofunga milele

"mapatano aya milele"

agano la milele la chumvi

"agano lililotengenezwa kwa chumvi." Chumvi inawakilisha kitu cha kudumu na ilitumika kwa ajili ya sadaka kwenye chakula cha maagano. "agano la kudumu" au " agano la milele"

wala hautakuwa na gawio miongoni mwa watu

"Hautamilikishwa ardhi ya watu" au " au hauatapokea chochotekatika ardhi ambayo Waisraeli wataimiliki"

Mimi ndio gawio lenu na urithi wenu

"Badala yake Mimi ndio nitakuwa kile matakachohitaji" au " Badala yake, Mimi nitawaruhusu kunitumikia na nitatoa kwa ajili yenu kupitia huduma hiyo"