sw_tn/num/18/19.md

28 lines
786 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
Mungu anaendelea kuongea na Haruni
# nimekupa wewe
"Ninakupatia wewe"
# Kama gawio la kudumu
"Kama sehemu ambayo mtaendelea kupata"
# Hili ni agano la milele la chumvi. Agano linalofunga milele
"mapatano aya milele"
# agano la milele la chumvi
"agano lililotengenezwa kwa chumvi." Chumvi inawakilisha kitu cha kudumu na ilitumika kwa ajili ya sadaka kwenye chakula cha maagano. "agano la kudumu" au " agano la milele"
# wala hautakuwa na gawio miongoni mwa watu
"Hautamilikishwa ardhi ya watu" au " au hauatapokea chochotekatika ardhi ambayo Waisraeli wataimiliki"
# Mimi ndio gawio lenu na urithi wenu
"Badala yake Mimi ndio nitakuwa kile matakachohitaji" au " Badala yake, Mimi nitawaruhusu kunitumikia na nitatoa kwa ajili yenu kupitia huduma hiyo"