# Sentensi unganishi Mungu anaendelea kuongea na Haruni # nimekupa wewe "Ninakupatia wewe" # Kama gawio la kudumu "Kama sehemu ambayo mtaendelea kupata" # Hili ni agano la milele la chumvi. Agano linalofunga milele "mapatano aya milele" # agano la milele la chumvi "agano lililotengenezwa kwa chumvi." Chumvi inawakilisha kitu cha kudumu na ilitumika kwa ajili ya sadaka kwenye chakula cha maagano. "agano la kudumu" au " agano la milele" # wala hautakuwa na gawio miongoni mwa watu "Hautamilikishwa ardhi ya watu" au " au hauatapokea chochotekatika ardhi ambayo Waisraeli wataimiliki" # Mimi ndio gawio lenu na urithi wenu "Badala yake Mimi ndio nitakuwa kile matakachohitaji" au " Badala yake, Mimi nitawaruhusu kunitumikia na nitatoa kwa ajili yenu kupitia huduma hiyo"