sw_tn/num/18/08.md

20 lines
405 B
Markdown

# Sadaka za kuinuliwa kwangu
Kirai cha "Kuinuliwa kawngu" knamaaisha kutoa kitu kwa Mungu. "Sadaka ambazo watu hutoa kwangu"
# Nimekupa sadaka hizi wewe
"Nimeshazitoa sadaka hizi kwako"
# kuwa haki yako milele
"kuwa sehsmu ya urithi ambayo utaendelea kupata"
# visiteketezwe kwa moto
"amabvyo havitateketezwa kabisa kwa moto madhabahuni"
# ni vitu vitakatifu sana
"vitu hivi ni vitskstifu sana"