sw_tn/num/18/08.md

405 B

Sadaka za kuinuliwa kwangu

Kirai cha "Kuinuliwa kawngu" knamaaisha kutoa kitu kwa Mungu. "Sadaka ambazo watu hutoa kwangu"

Nimekupa sadaka hizi wewe

"Nimeshazitoa sadaka hizi kwako"

kuwa haki yako milele

"kuwa sehsmu ya urithi ambayo utaendelea kupata"

visiteketezwe kwa moto

"amabvyo havitateketezwa kabisa kwa moto madhabahuni"

ni vitu vitakatifu sana

"vitu hivi ni vitskstifu sana"