# Sadaka za kuinuliwa kwangu Kirai cha "Kuinuliwa kawngu" knamaaisha kutoa kitu kwa Mungu. "Sadaka ambazo watu hutoa kwangu" # Nimekupa sadaka hizi wewe "Nimeshazitoa sadaka hizi kwako" # kuwa haki yako milele "kuwa sehsmu ya urithi ambayo utaendelea kupata" # visiteketezwe kwa moto "amabvyo havitateketezwa kabisa kwa moto madhabahuni" # ni vitu vitakatifu sana "vitu hivi ni vitskstifu sana"