sw_tn/num/18/06.md

628 B

Sentensi unganishi

BWANA anaendelea kuongea na Musa tena

Wao ni zawadi kwako

"Wao ni kama zawadi kwako.

waliotolewa kwangu

Neno "waliotolewa" kwa Mungu inamaanisha waliotengwa ili wamtumikie Mungu. "Ambao nimewatenga kwa ajili yangu"

wewe pekee yako na wanao

Kiwakilishi "wewe" na "yako" vinamaanisha Haruni na wanawe

kufanya kazi ya ukuhani

"kufanya kazi ya ukuhani"

kitu chchote ndani ya ukuhani

"kitu chochote chumbani nyuma ya lile pazia"

Mgeni yeyote anayekaribia atauawa

"Mgeni yeyote anayekaribia atakufa" au "mtamwua kila mgani anayekaribia"

anayekaribia

"anayekaribia maeneo matakatifu"