sw_tn/num/18/06.md

32 lines
628 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
BWANA anaendelea kuongea na Musa tena
# Wao ni zawadi kwako
"Wao ni kama zawadi kwako.
# waliotolewa kwangu
Neno "waliotolewa" kwa Mungu inamaanisha waliotengwa ili wamtumikie Mungu. "Ambao nimewatenga kwa ajili yangu"
# wewe pekee yako na wanao
Kiwakilishi "wewe" na "yako" vinamaanisha Haruni na wanawe
# kufanya kazi ya ukuhani
"kufanya kazi ya ukuhani"
# kitu chchote ndani ya ukuhani
"kitu chochote chumbani nyuma ya lile pazia"
# Mgeni yeyote anayekaribia atauawa
"Mgeni yeyote anayekaribia atakufa" au "mtamwua kila mgani anayekaribia"
# anayekaribia
"anayekaribia maeneo matakatifu"