# Sentensi unganishi BWANA anaendelea kuongea na Musa tena # Wao ni zawadi kwako "Wao ni kama zawadi kwako. # waliotolewa kwangu Neno "waliotolewa" kwa Mungu inamaanisha waliotengwa ili wamtumikie Mungu. "Ambao nimewatenga kwa ajili yangu" # wewe pekee yako na wanao Kiwakilishi "wewe" na "yako" vinamaanisha Haruni na wanawe # kufanya kazi ya ukuhani "kufanya kazi ya ukuhani" # kitu chchote ndani ya ukuhani "kitu chochote chumbani nyuma ya lile pazia" # Mgeni yeyote anayekaribia atauawa "Mgeni yeyote anayekaribia atakufa" au "mtamwua kila mgani anayekaribia" # anayekaribia "anayekaribia maeneo matakatifu"