sw_tn/num/18/03.md

654 B

Sentensi unganishi

BWANA anaendelea kuongea na Haruni.

Watakutumikia ... Wataungana na wewe

kiwakailiashi "wa" kinamaanisha Walawi. Na kiwakilishi "wewe" kinamwakilisha Haruni.

vinginevyo wewe na wao mtakufa

kiwakilish "wao kinamaanisha mtu yeyote katika kabilla Walawi anayesogelea kitu chochote mahali patakatifu. Kiwakailishi "wewe" kinamaanisha"Haruni" na Walawia wengine wanaotumika katika maeneo yaliyoidhinishwa.

asikusogelee. Wewe utaajibika.

kiwakilishi cha "wewe" ni cha wingi kinachomwakilisha Haruni na walawi wengine.

ili kwamba hasira yangu isiwajilie watuwa Israeli tena.

"ili kwamba nisije nikwaadhibu Waisraeli tena."