# Sentensi unganishi BWANA anaendelea kuongea na Haruni. # Watakutumikia ... Wataungana na wewe kiwakailiashi "wa" kinamaanisha Walawi. Na kiwakilishi "wewe" kinamwakilisha Haruni. # vinginevyo wewe na wao mtakufa kiwakilish "wao kinamaanisha mtu yeyote katika kabilla Walawi anayesogelea kitu chochote mahali patakatifu. Kiwakailishi "wewe" kinamaanisha"Haruni" na Walawia wengine wanaotumika katika maeneo yaliyoidhinishwa. # asikusogelee. Wewe utaajibika. kiwakilishi cha "wewe" ni cha wingi kinachomwakilisha Haruni na walawi wengine. # ili kwamba hasira yangu isiwajilie watuwa Israeli tena. "ili kwamba nisije nikwaadhibu Waisraeli tena."