sw_tn/num/18/03.md

20 lines
654 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi unganishi
BWANA anaendelea kuongea na Haruni.
# Watakutumikia ... Wataungana na wewe
kiwakailiashi "wa" kinamaanisha Walawi. Na kiwakilishi "wewe" kinamwakilisha Haruni.
# vinginevyo wewe na wao mtakufa
kiwakilish "wao kinamaanisha mtu yeyote katika kabilla Walawi anayesogelea kitu chochote mahali patakatifu. Kiwakailishi "wewe" kinamaanisha"Haruni" na Walawia wengine wanaotumika katika maeneo yaliyoidhinishwa.
# asikusogelee. Wewe utaajibika.
kiwakilishi cha "wewe" ni cha wingi kinachomwakilisha Haruni na walawi wengine.
# ili kwamba hasira yangu isiwajilie watuwa Israeli tena.
"ili kwamba nisije nikwaadhibu Waisraeli tena."