sw_tn/num/16/41.md

12 lines
304 B
Markdown

# Kisha ikatokea
Kirai hiki kimetumika hapa kuonyesha tukiola muhimu sana katika simulizi hili.
# walipokuwa wamekusanyika kinyume na Musa.
"walikuwa wamekusanyika ili kumnung'unikia Musa na Haruni"
# tazama
"ghafla." Neno hili limetumika ili kuonyesha kuwa watu walishangazwa na kile walichokiona.