# Kisha ikatokea Kirai hiki kimetumika hapa kuonyesha tukiola muhimu sana katika simulizi hili. # walipokuwa wamekusanyika kinyume na Musa. "walikuwa wamekusanyika ili kumnung'unikia Musa na Haruni" # tazama "ghafla." Neno hili limetumika ili kuonyesha kuwa watu walishangazwa na kile walichokiona.