sw_tn/num/16/41.md

304 B

Kisha ikatokea

Kirai hiki kimetumika hapa kuonyesha tukiola muhimu sana katika simulizi hili.

walipokuwa wamekusanyika kinyume na Musa.

"walikuwa wamekusanyika ili kumnung'unikia Musa na Haruni"

tazama

"ghafla." Neno hili limetumika ili kuonyesha kuwa watu walishangazwa na kile walichokiona.