sw_tn/num/16/33.md

16 lines
431 B
Markdown

# wakaingia ndani shimoni wakiwa hai
tazama 16:28
# wakashangaa
kiwakilishi "wa" kinawakilishsa Waisraeli"
# Nchi isije kutumeza na sisi pia
"Nchi inaweza kufunguka na sisi pia tukaangukia ndani yake na kufunikwa" au "Nchi ikifunguka tena na sisi tutangukia ndani yake tukaangukia ndani yake"
# Kisha moto ukashuka toka kwa BWANA ukawaangamiza wale wanaume 250
"Moto ukawaka kutoka kwa BWANA ukawaangamiza wale wanaume 250"