sw_tn/num/16/33.md

431 B

wakaingia ndani shimoni wakiwa hai

tazama 16:28

wakashangaa

kiwakilishi "wa" kinawakilishsa Waisraeli"

Nchi isije kutumeza na sisi pia

"Nchi inaweza kufunguka na sisi pia tukaangukia ndani yake na kufunikwa" au "Nchi ikifunguka tena na sisi tutangukia ndani yake tukaangukia ndani yake"

Kisha moto ukashuka toka kwa BWANA ukawaangamiza wale wanaume 250

"Moto ukawaka kutoka kwa BWANA ukawaangamiza wale wanaume 250"