# wakaingia ndani shimoni wakiwa hai tazama 16:28 # wakashangaa kiwakilishi "wa" kinawakilishsa Waisraeli" # Nchi isije kutumeza na sisi pia "Nchi inaweza kufunguka na sisi pia tukaangukia ndani yake na kufunikwa" au "Nchi ikifunguka tena na sisi tutangukia ndani yake tukaangukia ndani yake" # Kisha moto ukashuka toka kwa BWANA ukawaangamiza wale wanaume 250 "Moto ukawaka kutoka kwa BWANA ukawaangamiza wale wanaume 250"