sw_tn/num/16/12.md

514 B

Kwani ni jambodogo kwamba umetuleta mpaka ... ili kutuua kwenye jangwa

"mnadhani ni jambo dogo kwamba umetuleta ... ili kutuua katika jangwa hili."

ni jambo dogo

"haitoshi" au "isiyo na umhimu"

nchi ya kutiririka maziwa na asali

tazama 14:6

kutupa urithi

Inahusisha kile ambacho Mungu atawapa kuwa mali yao milele kama urithi wao

Sasa unataka kutuposha na ahadi hewa?

"Sasa unataka kutuposha na ahadi hewa."

kutupofusha

"kutudanganya"

kwa ahadi hewa

"kwa ahadi ambazo huwezi kuzitimiza"