sw_tn/num/16/12.md

28 lines
514 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwani ni jambodogo kwamba umetuleta mpaka ... ili kutuua kwenye jangwa
"mnadhani ni jambo dogo kwamba umetuleta ... ili kutuua katika jangwa hili."
# ni jambo dogo
"haitoshi" au "isiyo na umhimu"
# nchi ya kutiririka maziwa na asali
tazama 14:6
# kutupa urithi
Inahusisha kile ambacho Mungu atawapa kuwa mali yao milele kama urithi wao
# Sasa unataka kutuposha na ahadi hewa?
"Sasa unataka kutuposha na ahadi hewa."
# kutupofusha
"kutudanganya"
# kwa ahadi hewa
"kwa ahadi ambazo huwezi kuzitimiza"