# Kwani ni jambodogo kwamba umetuleta mpaka ... ili kutuua kwenye jangwa "mnadhani ni jambo dogo kwamba umetuleta ... ili kutuua katika jangwa hili." # ni jambo dogo "haitoshi" au "isiyo na umhimu" # nchi ya kutiririka maziwa na asali tazama 14:6 # kutupa urithi Inahusisha kile ambacho Mungu atawapa kuwa mali yao milele kama urithi wao # Sasa unataka kutuposha na ahadi hewa? "Sasa unataka kutuposha na ahadi hewa." # kutupofusha "kutudanganya" # kwa ahadi hewa "kwa ahadi ambazo huwezi kuzitimiza"