sw_tn/num/16/08.md

16 lines
395 B
Markdown

# Je, ni jambo dogo kwenu... ili muwatumikie
"mnaishi kana kwamba ni jambo dogo kwenu ... kuwatumikia"
# ni jambo dogo kwenu
"haitoshi kwenu" au "siyo mhimu kwenu"
# mnataka na ukuhani pia
"mnataka na huduma ya ukuhani pia" au "mnataka kuwa makuhani pia"
# kwa nini mnalalamika juu ya Haruni, ambaye anamtii BWANA?
"Kiuhalisia hamumlalamikii Haruuni, bali BWANA, ambaye Haruni anamtii"