sw_tn/num/16/08.md

395 B

Je, ni jambo dogo kwenu... ili muwatumikie

"mnaishi kana kwamba ni jambo dogo kwenu ... kuwatumikia"

ni jambo dogo kwenu

"haitoshi kwenu" au "siyo mhimu kwenu"

mnataka na ukuhani pia

"mnataka na huduma ya ukuhani pia" au "mnataka kuwa makuhani pia"

kwa nini mnalalamika juu ya Haruni, ambaye anamtii BWANA?

"Kiuhalisia hamumlalamikii Haruuni, bali BWANA, ambaye Haruni anamtii"