# Je, ni jambo dogo kwenu... ili muwatumikie "mnaishi kana kwamba ni jambo dogo kwenu ... kuwatumikia" # ni jambo dogo kwenu "haitoshi kwenu" au "siyo mhimu kwenu" # mnataka na ukuhani pia "mnataka na huduma ya ukuhani pia" au "mnataka kuwa makuhani pia" # kwa nini mnalalamika juu ya Haruni, ambaye anamtii BWANA? "Kiuhalisia hamumlalamikii Haruuni, bali BWANA, ambaye Haruni anamtii"