sw_tn/num/16/06.md

20 lines
385 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Musa anaendelea kuongea na Kora na wale wanaume waliokuwa na kora
# vyetezo
vyombo vya kufukizia uvumba
# mbele za BWANA
"katika uwepo wa BWANA"
# yule ambye BWANA atamchagua atamtenga kwa BWANA
"BWANA atamenga mtu huyo kwa ajili yake"
# Mmeenda mbele zaidi
"Mmefanya za"idi ya kile mnachotakiwa kufanya" au "Mmechukua mamlaka zaidi ya kiasi mnachotakiwa