# Sentensi unganishi Musa anaendelea kuongea na Kora na wale wanaume waliokuwa na kora # vyetezo vyombo vya kufukizia uvumba # mbele za BWANA "katika uwepo wa BWANA" # yule ambye BWANA atamchagua atamtenga kwa BWANA "BWANA atamenga mtu huyo kwa ajili yake" # Mmeenda mbele zaidi "Mmefanya za"idi ya kile mnachotakiwa kufanya" au "Mmechukua mamlaka zaidi ya kiasi mnachotakiwa