sw_tn/num/16/06.md

385 B

Sentensi unganishi

Musa anaendelea kuongea na Kora na wale wanaume waliokuwa na kora

vyetezo

vyombo vya kufukizia uvumba

mbele za BWANA

"katika uwepo wa BWANA"

yule ambye BWANA atamchagua atamtenga kwa BWANA

"BWANA atamenga mtu huyo kwa ajili yake"

Mmeenda mbele zaidi

"Mmefanya za"idi ya kile mnachotakiwa kufanya" au "Mmechukua mamlaka zaidi ya kiasi mnachotakiwa