sw_tn/num/16/01.md

28 lines
459 B
Markdown

# Kohathi
Tazama 3:17
# Wakamwinukia Musa
"walimpinga Musa"
# mia mbili na hamsini
"250"
# waliokuwa wakifahamika katika ile jamii
"watu wa muhimu katika ile jamii"
# mnatumia mamlaka zaidi ya uwezo wenu
"Mmefanya zaidi ya kile manchotakiwa kufanya"
# Kwa ini mnajiinua sana juu ya watu wengine wa BWANA?
"Mmekoswa kujiinua wenyewe juu ya watu wengine wa BWANA"
# mnajiinua sana juu ya watu wengine
"mnajiona wenyewe kuwa wa mhimu kulikowengine"