# Kohathi Tazama 3:17 # Wakamwinukia Musa "walimpinga Musa" # mia mbili na hamsini "250" # waliokuwa wakifahamika katika ile jamii "watu wa muhimu katika ile jamii" # mnatumia mamlaka zaidi ya uwezo wenu "Mmefanya zaidi ya kile manchotakiwa kufanya" # Kwa ini mnajiinua sana juu ya watu wengine wa BWANA? "Mmekoswa kujiinua wenyewe juu ya watu wengine wa BWANA" # mnajiinua sana juu ya watu wengine "mnajiona wenyewe kuwa wa mhimu kulikowengine"