sw_tn/num/16/01.md

459 B

Kohathi

Tazama 3:17

Wakamwinukia Musa

"walimpinga Musa"

mia mbili na hamsini

"250"

waliokuwa wakifahamika katika ile jamii

"watu wa muhimu katika ile jamii"

mnatumia mamlaka zaidi ya uwezo wenu

"Mmefanya zaidi ya kile manchotakiwa kufanya"

Kwa ini mnajiinua sana juu ya watu wengine wa BWANA?

"Mmekoswa kujiinua wenyewe juu ya watu wengine wa BWANA"

mnajiinua sana juu ya watu wengine

"mnajiona wenyewe kuwa wa mhimu kulikowengine"